The House of Favourite Newspapers

ASAP ROCKY AKAMATWA KWA KUMSHUSHIA KIPIGO SHABIKI

Image result for Asap Rocky

RAPA kutoka pande za Marekani, Asap Rocky amejiingiza kwenye vurugu pamoja na wenzake  na kuamua kupigana na shabiki mmoja ambaye mpaka sasa hajafahamika jina kwenye mitaa ya Stockholm nchini Sweden.

Mtandao wa TMZ umeachia baadhi ya video zikimuonyesha Rapper huyo akipigana huku chanzo cha ugomvi dabo akijajulikana ni nini, shabiki huyo alidai kuharibiwa headphones zake na Asap na kudaiwa kuwa jamaa huyo alimuita rapa huyo nyuma ya mgahawa waliokuwepo na kuanza kupigana.

Kwa sasa rapa Asap Rocky anashikiliwa na polisi pamoja na wenzake  kwa siku tatu au kulipa dhamana kutokana na kilichotokea au vinginevyo kufungwa kabisa jela miaka 6 nchini humo na tayari mpaka sasa watu watatu wamekamatwa kwa tuhuma zilizotokea.

Pakua App ya +255 Global Radio ili Kusikiliza Vipindi vyetu, Bofya HAPA KUINSTALL APP

Comments are closed.