The House of Favourite Newspapers

Askari Wakamatwa Kwa Mauaji Ya Watu Wawili – Kamanda Muliro Awaanika – Video

0


Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linawashikilia askari kadhaa kwa tuhuma za kuhusika na mauaji ya watu wawili.

Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro akizungumza na waandishi wa habari, amesema tukio hilo lililotokea Agosti 28, 2023 majira ya saa nane za usiku, ambapo askari hao wakiwa kwenye majukumu yao, walikutana na kundi la watu 30 waliokuwa wamebeba mkaa kwenye bodaboda.

Kamanda Muliro ameeleza kwamba askari hao walijaribu kuwasimamisha watu hao lakini wakakaidi amri hiyo na kusababisha kuibuka kwa vurugu kubwa zilizosababisha watu hao wawili wajeruhiwe na baadaye kupoteza maisha wakiwa wanapatiwa matibabu katika Hospitali ya Mloganzila.

Leave A Reply