The House of Favourite Newspapers

Atakayetafuna Fedha Za Vijana Ajiandae- Waziri Jafo

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Seleman Jafo amesema kuwa wametoa maelekezo maalum ya Fedha ambazo zinaishia katika halmashauri huku jukumu la kamati ya fedha wanapofanya makusanyo wahakikishe kama wamepata 10% wapeleke kwa wanachi na si kutokomea nazo.

MSIKIE JAFFO AKIZUNGUMZA

Comments are closed.