The House of Favourite Newspapers

Polisi Anaswa Akichana Mabango ya Kampeni

Inspekta Jenerali wa Polisi (IG) Hillary Mutyambai amethibitisha kuwa polisi wamechukua hatua dhidi ya afisa mmoja aliyenaswa kwenye kamera akiharibu mabango ya kampeni kutoka kwa gari la kampeni. Katika taarifa siku…

Pablo: Tutacheza Kibingwa kwa Mkapa

KOCHA Mkuu wa Simba, Pablo Franco, ameweka wazi kuwa kuelekea mchezo wao wa Jumapili dhidi ya RS Berkane, benchi la ufundi la timu hiyo linafanya maandalizi makubwa kuhakikisha si tu kwamba kikosi chao kinaibuka na ushindi dhidi ya…

Simba Wapangua Kikosi cha Kuwaua Berkane

KIKOSI cha Simba kinatarajiwa kuwa na mabadiliko makubwa katika mchezo wao wa marudiano wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya RS Berkane ya nchini Morocco kwa kumuingiza kiungo mtukutu, Mghana, Bernard Morrison. Timu hizo…

Chelsea Yapigwa Kitanzi

Mzozo wa kivita baina ya Urusi na Ukraine umechukua mkondo mwingine ambao una madhara ya kusikitisha kwa timu ya kandanda ya Chelsea ambayo mmiliki wake ni bilionea kutokea nchini Urusi Roman Abrahamovic anayetajwa na Uingereza kuwa…

Wanaomaliza Vifungo Kupewa Mitaji

Jeshi la Magereza Mkoa wa Mbeya limesema litaanza kuwawezesha kiuchumi wafungwa wanaomaliza kutumikia vifungo kwa kuwapa mitaji kutokana na kushiriki kwenye miradi ya ujenzi wa taasisi za Serikali, kilimo na ufugaji. Hayo…

Namungo Wadai Ubingwa Msimu Huu ni Wao

KOCHA Msaidizi wa Namungo, Jamhuri Kihwelo ‘Julio’, amesema wao ndio watakaokuwa mabingwa mwisho wa msimu hata kama watu hawawapi nafasi. Julio amesema, kila mechi ambayo wanakwenda kuicheza kwa sasa itakuwa ni kama…

Mbunge wa Hai Atangaza Kumaliza Chuki na Mbowe

MBUNGE wa Hai mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe (CCM), amesema yeye si muumini wa siasa za uadui, chuki na kuumizana, ndio maana alidiriki kumkaribisha nyumbani, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),…

Tid: Media Ziligoma Kupiga Muziki Wangu

TOP In Dar kwa kifupi TID; ni supastaa wa muziki wa RnB Afrika Mashariki akitokea nchini Tanzania ambaye anasema kuwa, kuna baadhi ya vyombo vya habari (media) ambazo ziligoma kupiga muziki wake kwa lengo la kuzima kipaji chake.…

Mwigulu aanika Bajeti ya 2022/23

Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba leo Ijumaa, Machi 11, 2022 jijini Dodoma amesema, Serikali inapanga kutumia Tsh trilioni 41 kwa mwaka wa fedha 2022/23 ikiwa ni ongezeko la takribani Tsh Trilioni 5. Mwigulu amesema…

Sallam SK Aomba Kustaafu Muziki

MENEJA Sallam SK ameomba kustaafu mziki kama watu watamruhusu kwa sababu alipewa nyimbo 40 kwenye EP ya FOA ya Diamond Platnumz na yeye amechagua nyimbo 10 tu na kuziacha 30. Kupitia page yake ya Instagram na Twitter Sallam SK…

Simba: Ngoja Tuoneshane Makali Kidogo Kidogo

USHINDI wa mabao 2-0 walioupata Simba SC, Jumatatu dhidi ya Dodoma Jiji, umewapa nguvu zaidi ya kuendelea kuisogelea Yanga SC kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara. Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Pablo Franco, ipo nafasi ya pili…

Nabi Ataja Mambo Mawili Yanga

ACHANA na mbio za ubingwa wa Ligi Kuu Bara, Kocha Mkuu wa Yanga SC, Nasreddine Nabi, amewaambia wachezaji wake anataka kuona mambo mawili yakifanyika katika kila mchezo watakaoucheza. Hiyo ni baada ya kuongoza katika…

Mastaa Simba Waongezewa Mzuka CAF

KATIKA kuhakikisha timu yao inafuzu hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika, uongozi wa Simba SC umefanya kikao na wachezaji wote. Simba ipo nafasi ya pili katika msimamo wa Kundi D kunako michuano ya Kombe la Shirikisho…

Mayele Ashusha Presha Yanga

WAKATI mashabiki wa Yanga SC wakiwa na hofu juu ya majeraha aliyoyapata mshambuliaji wa timu hiyo, Fiston Mayele katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa juzi Jumapili dhidi ya Geita Gold, taarifa njema ni kwamba, mwamba yupo fiti.…