The House of Favourite Newspapers

Nafasi za kazi 4 Wizara ya Elimu, Mkufunzi msaidizi maendeleo ya jamii II

0

POST MKUFUNZI MSAIDIZI MAENDELEO YA JAMII II (UMEME) – 4 POST
POST CATEGORY(S) ENGINEERING AND CONSTRUCTION
EMPLOYER Ministry of Education, Science and Technology
APPLICATION TIMELINE: 2022-02-23 2022-03-08
JOB SUMMARY N/S
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.    Kufundisha masomo ya fani mbalimbali zinazofundishwa katika vyuo;
ii.    Kuandaa mitiririko na mpangilio wa masomo;
iii.    Kusimamia masomo ya vitendo;
iv.    Kuwapima wanachuo wakati wa mazoezi na kwenye mitihani;
v.    Kufanya utafiti wa mahitaji ya mafunzo katika Jamii inayozunguka chuo;
vi.    Kuandaa muhtasari wa masomo;
vii.    Kufanya maandalizi ya namna ya kuendesha mafunzo;
viii.    Kuandaa vielelezo vya kufundishia;
ix.    Kuendesha mafunzo ya nje ya Chuo (Outreach Programs); na
x.    Kutunga, Kusimamia na Kusahihisha mitihani.
QUALIFICATION AND EXPERIENCE Kuajiriwa wahitimu wa kidato cha nne/sita waliofuzu mafunzo ya Stashahada kutoka Chuo kinachotambuliwa na Serikali katika fani ya umeme
REMUNERATION TGS C.

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave A Reply