The House of Favourite Newspapers

Baada ya Kimya Kirefu, DARASSA Azindua VIDEO Mpya 3 kwa Mpigo – Video

HIT MAKER wa ngoma ya Chanda Chema inayosumbua mjini kwa sasa, Darassa CMG, Usiku wa Aprili 07, amezindua nyimbo zake tatu kwa pamoja zinazokwenda kwa jina la, RELAX, Tumepoteza na Leo, ambazo ndani yake amewashirikisha Wakali wa RNB akiwemo JUX na Maua Sama.

 

Akizungumza na wanahabari Darassa amesema alikaa kimya kwa muda mrefu ili ausome muziki unataka nini na ndio maana alivyopata majibu sasa amerudi kivingine hivyo mashabiki wake watafurahia muziki wake.

Comments are closed.