The House of Favourite Newspapers

Baadhi ya Maeneo Pwani kukosa Umeme Kesho

0

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa taarifa kwa Wakazi wa Mkoani Pwani katika Wilaya ya Mlandizi kuwa linatarajia kufanya maboresho kwenye miundombinu yake kwa kufanya matengenezo kwenye miundombinu ya kupoza umeme ili kuboresha miundombinu ili iendelee kufanya kazi katika ubora zaid ambao unaotakiwa.

Kutokana na uwepo wa matengenezo hayo itapelekea baadhi ya Wateja wake kukosa huduma ya umeme Jumapili April 21,2024 kuanzia saa 1 asubuhi hadi saa 8 mchana.

Leave A Reply