Baba, Mama Nandy Niliumia Sana, Akirudia Nitakufa! – Video

Ukitaja wasanii ambao wanafanya vizuri kwa upande wa wanawake hutoacha kulitaja jina la Nandy ambaye kwa sasa anatamba na kibao chake cha aibu amekuwa mwenye mafanikio sana kwa kipindi kifupi ambacho ameanza mziki wake.

 

Moja kati ya watu ambao wamekuwa msaada mkubwa sana katika mziki wake ni wazazi wake hasa katika kipindi kigumu aliocho kipitia katika sakata ya picha chafu zilizo sambaa mitandaoni kati yake na Billnass, hata hivyo wazazi wake wamefunguka juu ya tukio hilo ambalo kikubwa zaidi wametoa ushauri wao kwa wasanii wengine kwa kuwasihi kutumia majina yao vizuri na kutokufanya kiki ambazo hazina maana.

VIDEO: WASKIE WAZAZI WA NANDY

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO

Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Toa comment