The House of Favourite Newspapers

Balozi Dkt. Nchimbi Ateta na Mwenyekiti Mpya wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa FLMS

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi (kulia pichani), akimpongeza Katibu Mkuu wa Chama cha ANC cha Afrika Kusini, Komredi Fikile Mbalula (kushoto pichani), mara baada ya kukabidhiwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi (kushoto), akizungumza na Mwenyekiti Mpya wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika (FLMS), Komredi Fikile Mbalula ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha ANC cha Afrika Kusini (kulia), mara baada ya Komredi Mbalula kukabidhiwa uenyekiti huo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU – PF cha Zimbabwe, Komredi Albert Mpofu (mwenye suti katikati), Machi 18, 2024, wakati wa Mkutano Mkuu wa 11 wa FLMS unaoendelea katika Mji wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe. Wengine pichani ni Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO cha Msumbiji, Komredi Roque Silva Samuel (mwenye shati nyeupe) na Katibu Mkuu wa Chama cha MPLA cha Angola, Komredi Paulo Pombolo (mwenye shati nyeupe).), kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU – PF cha Zimbabwe, Komredi Albert Mpofu, shughuli iliyofanyika Machi 18, 2024, siku ya kwanza ya Mkutano wa 11 wa FLMS unaoendelea katika Mji wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe. Aliyeko katikati yao ni Katibu Mkuu wa Chama cha BDP cha Botswana, Komredi Kavis Kario.

Mkutano wa 11 wa Vyama Rafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika (FLMS), unaowakutanisha wajumbe wake, ambao ni pamoja na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu wa Chama cha SWAPO (Namibia), Komredi Sophia Shaningwa, Katibu Mkuu wa Chama cha ANC (Afrika Kusini), Komredi Fikile Mbalula, Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO (Msumbiji), Komredi Roque Silva Samuel, Katibu Mkuu wa Chama cha MPLA (Angola), Komredi Paulo Pombolo, Katibu Mkuu wa Chama cha BDP (Botswana), Komredi Kavis Kario na Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU – PF (Zimbabwe), Komredi Albert Mpofu, (mwenyeji na mwenyekiti wa mkutano), ukiendelea kujadili agenda, leo Jumatatu, Machi 18, 2024, katika ukumbi ulioko Mji wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe, unakofanyikia.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi (kushoto), akizungumza na Mwenyekiti Mpya wa Mkutano wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Ukombozi Kusini mwa Afrika (FLMS), Komredi Fikile Mbalula ambaye ni Katibu Mkuu wa Chama cha ANC cha Afrika Kusini (kulia), mara baada ya Komredi Mbalula kukabidhiwa uenyekiti huo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU – PF cha Zimbabwe, Komredi Albert Mpofu (mwenye suti katikati), Machi 18, 2024, wakati wa Mkutano Mkuu wa 11 wa FLMS unaoendelea katika Mji wa Victoria Falls, nchini Zimbabwe. Wengine pichani ni Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO cha Msumbiji, Komredi Roque Silva Samuel (mwenye shati nyeupe) na Katibu Mkuu wa Chama cha MPLA cha Angola, Komredi Paulo Pombolo (mwenye shati nyeupe).

 

Leave A Reply