The House of Favourite Newspapers

Barabara Stendi ya Makumbusho Zaendelea Kujengwa

Barabara ya kuingia stendi ya Makumbusho.

BARABARA za kuingia na kutoka katika Stendi ya Daladala ya Makumbusho, Dar es Salaam zimeendelea kujengwa tofauti na awali zilivyokuwa zikionekana kuwa kero kwa waendeshaji wa vyombo vya usafiri.

Mtandao huu umeshuhudia baadhi ya sehemu ya miundombinu hiyo ikiwa tayari imewekwa kokoto na sehemu nyingine ujenzi ukiendelea.

Na Denis Mtima/GPL

 

Comments are closed.