SIRRO AWAAGA MAKAMISHNA WAWILI WASTAAFU JIJINI DAR
JESHI la Polisi nchini limewaaga makamishna wa Polisi wawili ambao wamefikia umri wa kustaafu kwa mujibu wa sheria.
Makamishna hao ni aliyekuwa Kamishna wa Polisi wa Fedha na Lojistiki, Clodwin Mtweve…