The House of Favourite Newspapers

Barclays Kuwekeza Sekta za Kiuchumi Nchini Wakati ikibadilika Kuwa Absa

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed alizungumza na wageni waalikwa wakati wa mkutano kuhusu masuala mbalimbali ya kiuchumi waliouandaa kwa wateja wao wa makampuni jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya Barclays Tanzania, Simon Mponji (kushoto), akisalimiana na Makamu Ofisa Mtendaji Mkuu Kundi la Benki ya Absa, Peter Matlare wakati wa mkutano wa masuala ya kiuchumi uliondaliwa na benki hiyo kwa wateja wake wa makampuni jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Barclays Tanzania, Abdi Mohamed.
Wakiwa katika mazungumzo.
Makamu Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kundi la  Benki ya Absa, Peter Matlare (kushoto), akisalimiana na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Bima ya UAP Old Mutual Tanzania, Stephen Lokonyo wakati wa mkutano wa masuala ya kiuchumi uliondaliwa na Benki ya Barclays Tanzania  kwa wateja wake wa makampuni jijini Dar es Salaam.  Katikati ni Mkurugenzi Wateja wa Makampuni wa benki hiyo, Brian Kalero.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Barclays Tanzania, Abdi Mohamed (lushoto), anayezungumza na, kutoka kushoto; Mkurugenzi wa Wateja wa Makampuni wa Barclays Tanzania, Brian Kalero, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Kagera Sugar, Ashwin Rana na Mkuu wa Wajeta wa Makampuni wa Barclays Kenya, James, Agin.

Comments are closed.