The House of Favourite Newspapers

Barnaba Kuibuka na Ben Pol

Msanii wa Bongo Fleva, Elias Barnaba akiwa  na msanii mwenzake Ben Pol (kulia).

MKALI wa Bongo Fleva, Elias Barnaba amefunguka kuhusu kufanya kolabo la maana na msanii mwenzake Ben Pol, mwakani 2018. Akizungumza na Full Shangwe, Barnaba alisema kuwa, Mungu akibariki, watafanya kolabo moja ya ukweli mwakani.

 

“Kikubwa ni kumshukuru Mungu na kumuomba atufikishe salama lakini naamini kolabo langu na Ben Pol litakuwa ni la hatari sana, maana mafundi wanakutana, unadhani nini kitatokea kama siyo nyasi kuwaka moto,” alisema Barnaba.

Stori Gabriel Ng’osha

Comments are closed.