The House of Favourite Newspapers

BARUA NZITO: MC PILIPILI, Machozi Yako Yasiishie Machoni Pekee – VIDEO

Siku za hivi karibuni kulizuka mjadala mkubwa kwenye mitandao ya kijamii na hiyo ni baada ya mchekeshaji maarufu Bongo, MC Pilipili, kutoa machozi wakati alipokuwa akimvisha pete ya uchumba mpenzi wake Philomena.

Global Tv, imemwandikia barua nzito mchekeshaji huyo ya kumshauri kitu kuhusiana na suala hilo.

Comments are closed.