The House of Favourite Newspapers

Ibrahim Maestro: Simba Kuna Shida Kubwa, Mo Dewji Anahusika Kuibomoa Timu – Video

0


Mtangazaji na mwandishi mkongwe wa habari za michezo, Ibrahim Masoud ‘Maestro’ amesema Rais wa Heshima wa Klabu ya Simba, Mohamed Dewji ‘Mo’ anahusika katika kuibomoa Simba.

Leave A Reply