The House of Favourite Newspapers

Nafasi za Kazi 4 Baraza La Sanaa Tanzania (BASATA), Afisa Sanaa

0

POST AFISA SANAA DARAJA LA II – 4 POST
EMPLOYER Baraza La Sanaa Tanzania (BASATA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-09-01 2022-09-14
JOB SUMMARY OK
DUTIES AND RESPONSIBILITIES i.Kutafsiri, kukagua na kufuatilia ubora na miiko ya kazi za muziki au uandaaji wa muziki.

ii.Kuandaa na kupokea namna nzuri ya kutengeneza muziki kupitia midia mbalimbali mfano you tube.

iii.Kusimamia na kushiriki katika matukio ya muziki.

iv.Kutembelea na kukutana na wachoraji, wachongaji na kubadilishana uzoefu.

v.Kutafsiri, kukagua huduma bora na miiko ya uchoraji, uchongaji na sanaa za maonyesho.

vi.Kuhudhuria matamasha mbalimbali yahusuyo uchoraji, uchongaji na sanaa za maonyesho.

vii.Kufanya shughuli nyinginezo zitakazopangwa na mkuu wa kazi.

 

 

 

 

 

QUALIFICATION AND EXPERIENCE Mhitimu wa Shahada ya kwanza kati ya Taaluma zifuatazo;- Muziki, Sanaa za Maonyesho, Filamu, Mitindo Filamu na Televisheni kutoka chuo kinachotambulika na Serikali.

 

REMUNERATION PGSS 6

BONYEZA HAPA KUTUMA MAOMBI

Leave A Reply