The House of Favourite Newspapers

Basata Yamfungia Dudubaya Kutojihusisha na Sanaa

0
Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) nchini Tanzania limemfutia usajili msanii wa Bongofleva Dudubaya kutojihusisha na shughuli zozote za sanaa.
Tamko hilo limetolewa leo Jumanne Januari 7, 2020 na Katibu Mtendaji, wa baraza hilo, Godfrey Mngereza baada ya msanii huyo kukiuka wito wao wa kumtaka aende ofisini kwao kwa ajili ya mahojiano.

 

Leave A Reply