The House of Favourite Newspapers

Basi la Hood Lagongana na Lori na Kupinduka Mlima Kitonga

1 IRINGA: Basi la abiria ambalo ni mali ya Kampuni ya Hood linalofanya safari zake kati ya Mbeya na Arusha jana  mchana lilipata ajali na kupinduka katika Mlima Kitonga mkoani Iringa baada ya kugongana na lori la mafuta.
 
3Imearifiwa kuwa, katika ajali hiyo mtu mmoja amepoteza maisha na wengine 43 wamejeruhiwa.
2Kati ya majeruhi hao 25 wapo Hospitali ya Itunda Ilula na 18 wapo katika Hospitali ya Mkoa wakipatiwa matibabu.

Comments are closed.