The House of Favourite Newspapers

Basi la Hood lapata Ajali Uchira Moshi leo

Basi la kampuni ya Hood lenye namba T 779 AVL lililokuwa likitokea mkoani Arusha kuelekea Mbeya limepata ajali leo Jumapili, Agosti 4, 2019 katika kijiji cha Uchira wilayani Moshi. Ajali hiyo imetokea majira ya saa 1:30 asubuhi na abiria wote wako salama.

Comments are closed.