The House of Favourite Newspapers

Basi La Mwendokasi Lateketea Kwa Moto eneo la Kibamba Chama, Dar (Picha +Video)

0

Basi la Mwendokasi limewaka moto na kuteketea eneo la Kibamba Chama, Dar es salaam usiku wa kuamkia leo Desemba 27, 2023. Jeshi la polisi kikosi cha Zimamoto na Uokoaji lilifanikiwa kuuzima moto huo.

Taarifa za awali zinasema kuwa hakuna mtu aliyejeruhiwa au kufa katika ajali hiyo huku chanzo cha moto huo kikiwa hakijafahamika bado.

Basi la Mwendokasi limewaka moto na kuteketea eneo la Kibamba Chama, Dar es

Leave A Reply