The House of Favourite Newspapers

Beckham, Victoria Waadhimisha Mwaka wa 19 wa Ndoa

Image result for Victoria and David Beckham enjoyed a low key dinner date

 

WANANDOA David Beckham  na Victoria leo wametimiza mwaka wa 19 wa ndoa yao na ‘kupuuzilia mbali’ uvumi kwamba wametengana.

Wawili hao ambao walikuwa ni mcheza soka (mume) na mwimbaji (mke) walisherehekea siku hiyo kwa kupongezana katika akaunti zao za Instagram ambapo Victoria, aliyewahi kuwa mwimbaji wa kundi la Spice Girls, aliandika: ’19 years!!! X I love u so much.’  (Miaka 19!!! X Nakupenda sana.)Image result for Victoria and David Beckham enjoyed a low key dinner date

Familia ya Beckham.

Katika kumjibu mkewe, Beckham naye aliandika:

’19 Years WOW … This time 19 years ago I was dressed from head to toe in purple… Happy anniversary to the most amazing wife & mummy… Love You.’

Comments are closed.