The House of Favourite Newspapers

Mwanamke Apanda Mnara wa Liberty Akipinga Sera za Trump

Image result for Statue of Liberty Woman Climbs Protesting Trump's Family Separation

Wafanyakazi wakimfuata mwanamke huyo (kulia, aliyepiga magoti). 

MWANAMKE  ambaye hakufahamika jina, alikamatwa jana jijini New York, Marekani, kwa kupanda katika Mnara wa Liberty, akipinga sera za Rais Donald Trump wa nchi hiyo, za kuwatenganisha wakimbizi wanaoingia nchini humo na watoto wao.

Wafanyakazi wa mnara huo walitumia ngazi kumshusha na kumpeleka polisi ambako polisi wataamua la kumfanya.

Comments are closed.