The House of Favourite Newspapers

Beki Wa Mamelodi Na Timu Ya Taifa Sauzi Madisha Afariki

0

BEKI wa Mamelodi Sundowns na Timu ya Taifa South Africa, Motjeka Madisha (25) amefariki, taarifa hizi zinakuja wiki chache baada ya Club hiyo kupata msiba mwingine wa Beki Anele Ngcongca aliyefariki kwa ajali ya gari, Motjeka amefariki kwa ajali ya gari.

Leave A Reply