The House of Favourite Newspapers

Ben Kinyaiya Afunga Ndoa na Mchumba Wake Wa siku Nyingi

MTANGAZAJI maarufu Bongo, Benny Kinyaiya amefunga ndoa ya kiserikali na mchumba wake wa siku nyingi baada ya picha zao kuonekano katika mtandao wa kijamii siku ya jana.

Mtangazaji maarufu Bongo, Benny Kinyaiya akiwa na mke wake katika ofisi ya mkuu wa Wilaya.
Benny Kinyaiya akimsikiliza mke wake.

Comments are closed.