The House of Favourite Newspapers

Blac Chyna Amtosa Almighty Jay Kwa Kuzidisha Michepuko

MWANAMITINDO wa Marekani Blac Chyna  amemtosa mpenzi wake, mwanamuziki Mmarekani  YBN Almighty Jay   akisema amezidi kuchepuka na wasichana wengine.

Wawili hao ambao wamekuwa wakizozana kwa muda, waliachana wiki iliyopita ambapo Chyna aliamua uhusiano wao umefikia mwisho na kwamba hakuna tena kubembelezana.

Comments are closed.