The House of Favourite Newspapers

Blac Chyna na Rob sasa ni mahaba niue

0

30E71AE000000578-3433431-image-a-53_1454674307489BLAC Chyna akiwa na mpenzi wake Rob Kardashian.

LOS ANGELES, Marekani
BLAC Chyna na mpenzi wake Rob Kardashian wanafuraha sasa baada ya mwishoni mwa wiki iliyopita kuonekana wakiwa pamoja ‘beach’ huku wakicheza pamoja michezo mbalimbali huko Los Angeles.

Rob ambaye ni kaka wa mastaa wakubwa wa kike Kim, Kourtney na KhloeKardashian,amekuwa akipingwa huku Chyna naye akipokea matusi kupitia mtandaoni kutok akwa familia hiyo kutokana na kuingia kwenye uhusiano na modo huyo.

Katika kuonyesha kuwa mapenzi hayaingiliwi,wawili hao wamekuwa pamoja mara nyingi na kitendo cha kwenda mtoko wa pamoja na kuonekana wakicheza michezo mbalimbali huku wakipigana picha,kinaonyesha kuwa wapo kwenye uhusiano ‘siriazi’.

Leave A Reply