The House of Favourite Newspapers

Black house party ilivyonoga

0

1

 Tausi akiwa katika picha ya pamoja na rafiki yake Edith Temu.

3 4Tausi akiwa pamoja na Maya ambao ndio waandazi wa Party hiyo.

5 Baadhi ya wageni waalikwa kwenye Party hiyo.

6
Mayaakiwa na Dj wakifanya yao.

7
Tausi akiwa na mmoja wa wageni waalikwa.

8
Wageni wakiserebuka na muziki laini.

Mke wa aliyekuwa meya wa Kinondoni Yusuph Mwenda, Tausi Mwenda pamoja na Rafiki yake Maya wamekonga nyoyo za watu baada ya kuandaa Party ya kutinga na mavazi ya rangi nyeusi iliyofanyika katika ukumbi wa Mwenda’s Pub uliopo Mikocheni jijini Dar, ambapo ni kwaajili ya kuwakusanya watu pamoja na kuzungumza mambo mbalimbali ya maendeleo.x

Leave A Reply