The House of Favourite Newspapers

Bobi Wine Aanza Mchakato Kupinga Matokeo

0

CHAMA cha NUP kimesema maandalizi yote muhimu yamefanyika na leo wanatarajia kuwasilisha ombi la kupinga matokeo ya Uchaguzi Mkuu uliofanyika Januari 14 mwaka huu.

 

 

Robert Kyagulanyi (Bobi Wine) aliyekuwa mgombea urais kupitia chama hicho alipinga matokeo yaliyotangazwa na Tume ya Uchaguzi akidai ana ushahidi wa udanganyifu.

 

 

Akizungumza na vyombo vya habari, Katibu Mkuu cha chama tawala (NRM), Justine Kasule Lumumba, amesema wameandaa jopo la wanasheria kutetea ushindi wa Yoweri Museveni.

 

 

Leave A Reply