The House of Favourite Newspapers

Bodi Ya Filamu Yawashushia Rungu Wawekea Picha Za Ngono Kwa Abiria

Kaimu Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu akizungumza na wanahabari hawapo pichani.

Bodi ya Filamu Tanzania leo imetangaza kuchukua hatua kali kwa wenye vyombo vya usafiri kama vile mabasi ya abiria na vyombo vingine watakaobainika kuwawekea abiria wao filamu zisizo na maadili.

Akizungumza na wanahabari Kaimu Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu nchini, Dkt. Kiango Kilonzo amesema sasa hawatawafumbia macho wanaoendelea kufanya hivyo.

Mwanasheria wa Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo, Mr. Kyando akisistiza mambo ya kisheria wakati akizungumzia hilo.
Mapaparazi wakichukua matukio kwenye mkutano huo.

Comments are closed.