The House of Favourite Newspapers

Bofya Hapa Ujishindie Vocha ya Bure!

 vocha1Tovuti ya Global Publishers inaendelea kutoa vocha kwa wasomaji wake mwezi huu Januari, zawadi ya vocha kila siku kwa ajili ya kuwasiliana na ndugu, jamaa na marafiki pamoja na bundles za kuperuzi.instasize_0112143932
Vocha hii ya Ths. 5000/= imekwanguliwa tarakimu 13 na zimebaki tarakimu mbili ambazo hazijakwanguliwa, bashiri tarakimu ambazo hazijakwanguliwa kisha comment kwa kuandika tarakimu hizo pamoja na namba yako ya simu.
ONYO: Kumbuka ukijaribu kuingiza vocha zaidi ya mara tatu na ukakosea, laini yako itafungiwa Comment kwa kubashiri ukiibuka mshindi utatumiwa vocha na kutangazwa kama mshindi katika tovuti yetu.
Vocha za mitandao yote kutolewa hapa hapa mara kwa mara.

Comments are closed.