The House of Favourite Newspapers

Breaking: Baba Levo Ashinda Rufaa Mahakama Kuu Kigoma

Diwani wa Mwanga Kaskazini (ACT-Wazalendo), Clayton Chipando maarufu Baba Levo, leo Novemba 21, ameshinda rufaa yake katika Mahakama Kuu ya Mkoa wa kigoma. Baba levo alihukumiwa kwenda jela miezi mitano Agosti 1, 2019 kwa kosa la kumshambulia askari wa usalama Barabarani.

Comments are closed.