The House of Favourite Newspapers

BREAKING: BEKI ‘MWILI-JUMBA’ ATUA SIMBA KWA MIAKA MIWILI

MCHEZAJI wa Singida United, Kennedy Juma,  leo ametangazwa kujiunga na kikosi cha Simba kwa kandarasi ya miaka miwili.

Juma anakuwa mchezaji wa pili kwa Simba kupewa mkataba mpya baada ya mlinda mlango Beno Kakolanya kusaini kandarasi ya miaka miwili ndani ya Simba.

 

Comments are closed.