The House of Favourite Newspapers

Breaking: Diamond Awasili Karimjee Kumuaga Ruge – Video

MSANII wa WCB, Diamond Platnumz leo Machi 2, 2019 amefika katika Viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam, kuungana na ndugu, jamaa, marafiki na waombolezaji wengine kuuaga mwili wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media, Ruge Mutahaba.

Diamond amefika akiambatana na mama yake mzazi, Bi. Sanura.

Comments are closed.