The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Watatu CCM Kugombea Urais Zanzibar

0

MKUTANO  wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)  umepitisha majina matatu katika mchakato wa wagombea urais wa Zanzibar, ambao ni:

1. Dkt Khalid Salim Mohamed,
2. Dkt Hussein Ali Mwinyi na
3. Shamsi Vuai Nahodha.

Wagombea walikuwa 31, Lakini waliopitishwa Tano bora Urais Zanzibar walikuwa :

1. Prof. Makame Mbarawa
2. Dkt Khalid Salum Mohamed
3. Shamsi Vuai Nahodha
4. Dkt Hussein Mwinyi
5. Khamis Musa Omar

Mkutano bado unaendelea ambapo litapendekezwa jina moja kati ya hayo matatu. Endelea kuwa nasi.

Leave A Reply