The House of Favourite Newspapers

BREAKING: MAKONDA Akikabidhi Mabasi kwa Jeshi – Video

MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amekabidhi mabasi kwa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ na vyombo vya ulinzi na usalama. JWTZ wamempongeza RC Makonda kwa jitihada ambazo amezichukua kwa ajili ya kuboresha usafiri na miundombinu.

Comments are closed.