TANESCO Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Hitilafu ya Umeme Iliyojitokeza leo
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi umma kuhusu hitilafu ya umeme kwenye Gridi ya Taifa iliyojitokeza leo Mei 4, 2024 majira ya saa 08:40 usiku na kupelekea baadhi ya maeneo nchini kukosa umeme .