The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Babu Seya, Papii Watinga Ikulu

Rais John  Magufuli (katikati) akiwa ameshikana mikono akiomba dua na mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya”  (wa pili kushoto) na wanaye Johnson Nguza “Papii Kocha” (wa pili kulia), Francis Nguza (wa kwanza kulia) na Michael Nguza (kushoto) walipofika Ikulu Dar leo, Januari 2, kumshukuru kwa msamaha  aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia
“Babu Seya” na wanaye Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza walipofika Ikulu leo.

Familia ya mwanamuziki Nguza Vicking “Babu Seya” na wanaye Johnson Nguza “Papii Kocha”, Francis Nguza na Michael Nguza  leo walikwenda Ikulu, Dar, kumshukuru Rais Magufuli kwa msamaha wake aliotoa kwao dhidi ya kifungo cha maisha walichokuwa wakitumikia.

Rais Magufuli alitoa msamaha kwa wanamuziki hao, miongoni mwa watu zaidi ya 8,000 aliowasamahe siku ya uhuru wa Tanzania Bara, Desemba 9 mwaka jana, wakati akilihutubia taifa huko Dodoma.

Babu Seya, Papii Watinga Ikulu, Wakutana Uso kwa Uso na Rais JPM

WASTARA: Nimeshindwa Kabisa Kumsahau Sajuki, Kila Nikimkumbuka Nalia

Comments are closed.