The House of Favourite Newspapers

BREAKING NEWS: LHRC ‘Waishambulia’ NEC – VIDEO

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC)  kimeitaka Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kufanyia kazi changamoto zilizoibuliwa na wadau wakati wa uchaguzi mdogo wa wabunge katika majimbo ya Kinondoni na Siha bila kujali udhaifu katika uwasilishaji wa changamoto hizo.

 

LHRC imesema hayo leo Jumatano, Machi 7, 2018 kupitia kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake, Naemy Sillayo alipokuwa akijibu hoja zilizotolewa na NEC wiki iliyopita kutokana na tamko lililotolewa na asasi za kiraia.

 

 

 

VIDEO: LHRC WAKIFUNGUKA

Comments are closed.