The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Magufuli Ateua Mkurugenzi Mkuu wa NIDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. Arnold Mathias Kihaule kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).

Rais Magufuli alivyomwaga MIL 20 “2020 Kura zote kwako”

Comments are closed.