The House of Favourite Newspapers

Mbunge Wa Monduli Chadema Ajiuzulu Na Kuhamia CCM

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga  Laizer, kupitia Chadema (kulia) akiwa na  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole.

Mbunge wa Jimbo la Monduli, Julius Kalanga  Laizer, kupitia Chadema, leo amejivua uanachama wa Chadema, amejiuzulu nafasi yake ya Ubunge na vyeo vyake vyote ndani ya Chadema na Kujiunga na CCM usiku wa kuamkia leo.

Bwana Julius Kalanga Laizer amepokelewa na Kamaradi Humphrey Polepole Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi.

Imetolewa na,

IDARA YA ITIKADI NA UENEZI
CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

Comments are closed.