The House of Favourite Newspapers

Breaking News: Profesa Kitila Mkumbo Arejea Rasmi CCM

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo.

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida, Martha Mlata (Mb) leo amemtangaza Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Profesa Kitila Mkumbo kujiunga na chama hicho.
Amesema Kwa niaba ya CCM mkoa wa Singida ninamkaribisha Profesa Mkumbo Kwa mikono miwili,tuendelee na kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika mkoa wetu na Taifa kwa ujumla

Leave A Reply