The House of Favourite Newspapers

BREAKING: Uzinduzi wa Bongostar Search – VIDEO

PRODUCER mkongwe wa muziki Master J na mtangazaji Ritha Paulsen au maarufu kama “Madam Ritha” ambao pia ni majaji wa Shindano la Bongo Star Search (BSS), wamejibu mapigo kwa watu ambao wamekuwa wakiisema vibaya kuhusu baadhi ya wasanii wanaotoka kwenye shindano hilo kushindwa kufanya vizuri kwenye soko la muziki kwa muda mrefu.

VIDEO: WASIKIE HAPA WAKIFUNGUKA

Comments are closed.