Michezo Breaking: Xavi Hernandez Kocha Mpya Barcelona Last updated Nov 5, 2021 0 Share Klabu ya Al Sadd Sc imethibitisha kuwa Xavi Hernandez ameondoka klabuni hapo na kujiunga na Fc Barcelona kama kocha Mkuu Barcelona wamelipa kiasi cha €5m ili kuvunja mkataba wake na timu hiyo. Related 0 Share