BROWN MAUZO BAADA YA KUNYWA SUMU KAJA NA HII – VIDEO

Siku chache baada ya kunusurika kufa, Msanii wa muziki kutoka Kenya, Brown Mauzo, Ambaye anafanya vizuri East Africa Leo ameachia ngoma mpya inayoitwa ‘MAWAZO’

Brwon alikunywa sumu na kukimbizwa hospitali huku chanzo kikitajwa kuwa ni kupigwa kibuti na mpenzi wake

Ngoma ya Mawazo tayari IPO YouTube.  Anakukaribisha Kuitazama.

 

Toa comment