The House of Favourite Newspapers

Bryson Ndiye Mshindi wa BSS 2021/22

0

Mshiriki kutoka Dar es salaam, Brayson Yohana ameibuka Mshindi wa Mashindano ya 12 ya kusaka vipaji (Bongo Star Search – BSS) msimu wa 2021/22 na kukabidhiwa Tsh. Milioni 20 na zawadi nyingine mbalimbali kutoka kwa Wadhamini tofauti ikiwemo ofa ya kuishi bure kwa mwezi mzima kwenye apartment za Palm Village.

 

Zawadi hizo amekabidhiwa mbele ya Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Mechezo Mohamedi Mchengwera ambaye pia ameipa Uongozi wa BSS Tsh. Milioni 5 kama sehemu ya kuwaunga mkono Kwenye kuibua vipaji.

Leave A Reply