The House of Favourite Newspapers

BUKU TU, SHIMO LINATEMA Mil. 100, 000, 000

NDANI ya miaka kadhaa iliyopita kumekuwa kuki­ibuka kampuni nyingi zinazojihusisha na masuala ya michezo ya kubashiri, miongoni mwa kampuni hizo ni Sokabet ambayo ndani ya kipindi kifupi imeweza kufanya mambo mengi makubwa na kuwa chaguo la watu wengi.

 

Michezo hii ya kubashiri am­bayo inashirikisha raia yeyote ambaye ana umri wa kuanzia miaka 18 inaweza kuwa na fai­da kubwa kwa mashirika pindi anapopata bahati ya kufanikiwa kushinda bahati yake.

 

 

Championi Ijumaa limepata nafasi ya kutembelea na kuzun­gumza na Meneja Usimamizi wa Sokabet, Lusekelo Mwandenene ambaye anafunguka mengi kuhusu huduma zao na jinsi am­bavyo raia wa kawaida wanavy­oweza kuneemeka kutokana na kubashiri.

 

UFAFANUZI…

“Tunashukuru ndani ya muda mfupi huduma zetu zimekuwa kipenzi cha Watanzania wengi, kuna watu wengi wanabashiri ndani ya Sokabet kupitia njia mbalimbali, zaidi tunapata wa­teja kupitia simu na tovuti.

“Tumerahisisha huduma zetu kwa kuwapelekea wateja wetu ambao wanaweza kubashiri hata kama simu zao hazina hu­duma ya internet, pia kila wiki tunaweka mezani shilingi mil­ioni 100 ambayo mtu yeyote anaweza kushinda pindi ataka­popatia matokeo katika Jackpot.

 

BUKU TU INAONDOA UMASIKINI

“Kwa kiwango cha shilingi 1,000 tu mtu anaweza kushiriki Jackpot na kushin­da kiwango hicho cha milioni 100, ambapo bila shaka mtu wa kawaida akiki­pata anakuwa ameondoka ka­tika umasikini.

 

“Tunajua hicho ni kiwango kikubwa cha fedha, hivyo tuna wataalamu wa saikolojia ambao kazi yao kubwa ni kuwapa dara­sa la jinsi ya kutumia fedha hizo kwa mshindi, kwani tunatambua kuwa mtu ukiwa huna kitu kisha ukapata fedha nyingi ghafla ni rahisi kupata hofu au ‘mawenge’ na ukashindwa kutumia fedha.

 

SOKABET INA­VYOBADILI MAISHA YAKO

“Kupata fedha nyingi kwa wakati mmoja ni rahisi kubadili maisha yako mfano unaweza kupata fedha ya kulipa kodi ya nyumba, kodi ya biashara, ku­nunua au kujenga nyumba, kuli­pia matibabu ya afya na mambo mengine mengi.

“Mbali na Jackpot pia kuna fedha nyingine ndogondogo am­bazo mshiriki anaweza kuzipata na zikamnufaisha katika maisha yetu ya kila siku, mfano milioni tano, nne, moja na nyinginezo, jambo zuri ni kuwa katika Soka­bet mshiriki anaweza kuanza ku­beti kwa kuanzia shilingi 200 tu,” anasema.

JINSI YA KUJIUNGA NA SOKABET

Baada ya mazungumzo hayo, Lusekelo akatoa maelezo ambayo mshiriki anaweza kuji­andikisha kubeti kupitia tovuti yao:

  1. Fungua tovuti ya Sokabet ambayo ni www.sokabet. co.tz iwe ni katika simu, kompyuta au kifaa chochote kilichounganishwa na internet.
  2. Jiandikishe kwa kubonyeza ‘SIGN UP’, jaza nafasi zilizo wazi, utatumiwa namba ya siri kwa SMS (kama ume­shajiandikisha huu mchakato haukuhusu, utaanzia namba 3).
  3. Bonyeza ‘LOGIN’, andika namba ya simu, ingiza namba ya siri uliyotumiwa kwa SMS, ikikubali utakuwa umefungua akaunti yako.
  4. Ingiza fedha kwa M-Pesa, piga piga *150*00#, chagua namba 4 (lipa kwa M-pesa), chagua namba 4 (weka namba ya kampuni), ingiza namba ya kampuni ambayo ni 335757, kisha ingiza kum­bukumbu ambayo ni neno ‘Champ’. Weka kiasi unacho­taka, mfano Sh 1,000 au 5,000, kisha ingiza namba yako ya siri na bonyeza namba 1 kukamilisha mchakato.
  5. Ingiza fedha kwa Tigo Pesa, piga namba *150*01#, chagua namba 4 (lipia bili), bonyeza namba 3 (ingiza namba ya kampuni), ingiza namba 335757, ingiza kiasi cha fed­ha, andika neno ‘Sokabet’, malizia na namba yako ya siri ya Tigo Pesa.
  6. Ingiza fedha kwa Airtel Money, piga *150*60#, chagua namba 5 (lipia bili), bonyeza namba 4 (namba ya kampuni), ingiza namba 335757, weka kiasi cha fedha, ingiza kumbukumbu namba (ingiza neno ‘Sokabet’) kisha namba yako ya siri ya Airtel money.
  7. Ukitatizika unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja kupitia namba 0654705555 pia ukifungua to­vuti yao utakutana na wahudu­mu wao muda wote, ambapo kulia kwako utaona neno ‘online’, bonyeza hapo uanze kuchati na watoa huduma.
  8. MICHEZO MINGI

Lusekelo anasema, ndani ya Sokabeti siyo soka tu bali kuna michezo mingi ambayo mshiriki anaweza kubashiri, baadhi ni American Foot­ball, baseball, kikapu, kriketi, gofu, mpira wa mikono (handball), ice hockey, mbio za magari, ragbi, teni­si, volleyball na ndondi.

UNAVYOWEZA KUPATA SH 100M

Anasema hapa mshiriki anatak­iwa kubeti mechi 13 tu kwa shilingi 1,000 lakini kuna mechi tatu za ziada ambazo zinawekwa ili zijumuishwe katika orodha hiyo kwa dharura endapo itatokea kati ya zile 13 za awali kuna ambayo haikufanyika au haikumalizika, lakini zote zikichezwa bila tatizo, basi hazitaathiri zile 13 ambazo ndizo muhimu.

Lusekelo anaongeza kuwa iki­tokea mshiriki amekosea kutabiri baadhi ya mechi bado anaweza ku­pata nafasi ya kujishindia mamilioni ya fedha :

TUMIA SIMU KUIN­GIZA MAMILIONI

Baada ya kujua jinsi ya kujiunga na kuanza kutumia huduma za Sokabet kupi­tia tovuti, pia mtumiaji anaweza kutumia simu ya mkononi kupata huduma.

MFUMO WA USSD

Kutumia mfumo wa USSD mtumiaji anatakiwa kubonyeza namba *148*89# kisha apige na kuendelea kupata huduma. Uk­ishafungua utakutana na ujumbe wa ‘Karibu Sokabet’ kisha utapewa orodha hii:

TUMIA SMS KU­BET

K u p i t i a u j u m b e mfu­pi wa maandishi yaani SMS pia un­aweza kujiunga au k u b e t kupitia Tigo, Airtel na Vodacom. Unacho­takiwa ni kutumia n a m b a 1 5 8 0 0 . I n g i a ndani ya sehemu ya kuan­dika SMS k a ­tika simu yako kisha un­a w e z a kufanya h a y a y a f u a – tayo:

KUBET MECHI MOJA (SINGLE BET)

Mfano: Arsenal Washinde

Andika Neno Bet <AchaNafasi>Code ya Mechi>Ubashiri*kiasi cha pesa>TUMA KWENDA 15800

MFANO: Bet 28983#2*1000 TUMA KWENDA 15800

Kumbuka namba 2 hapo inamaani­sha timu ya ugenini ndiyo itakayoshinda, namba moja ya nyumbani ndiyo itashinda, kama ni sare unaweka X. Namba 28983 ni code namba am

bayo inapatikana kwenye tovuti ya Sokabet au gazeti kuhusu mchezo husika (mfano tazama ukurasa wa 9).

KUBET MECHI ZAIDI YA MOJA (MULTIPLE BET)

Bet<AchaNafasi>CodeyaMechi>Ub ashiri+CodeyaMechi>Ubashiri+Codeya Mechi>Ubashiri*kiasi cha pesa>TUMA KWENDA 15800

Mfano: Arsenal + Chelsea + Liverpool

Bet 28983#2+28916#1+29911#X*1000 KISHA TUMA KWENDA 15800

Muhimu: Kama mteja ana ofa ya freebet ya kawaida ambayo siyo ya Jackpot akihitaji kuitumia ataanza na neno FB na kuendelea na mpangilio kama kawaida.

MFANO FB 28983#2+28916#1+29911#X*1000

NB: UNAPOWEKA BET UNAACHA NAFASI MOJA TU UNAPOKUWA UMEANDIKA BET/FB UNAPOENDELEA USIACHE NAFASI*

TUMIA 15800 KUBET

Unaweza kuitumia namba 15800 kupata huduma nyingine kadhaa mfano kama umesahau PIN yako ya akaunti, kuangalia salio na mengine mengi:

PIN = Tuma neno PIN tuma kwenda 15800

SALIO = Tuma neno SALIO kwenda 15800

KUJIUNGA = Kujiunga na sokabet tuma neno SOKABET kwenda 15800

TOA = Kutoa pesa kutoka akaunti yako ya Sokabet andika neno TOA acha nafasi kisha kiasi tuma kwenda 15800 MFANO: Toa 2000

JACKPOT BET

JP = kucheza Jackpot andika neno Jp acha nafasi kisha weka bashiri za jackpot

mfano Jp 12121212XXX1212*1000 TUMA KWENDA 15800

FJP = Kama mteja ana freebet ya jackpot na anataka kuitumia ataanza na neno

FJP 12211122112XX1X1*1000 TUMA KWENDA 15800

LISTJP = Kupata orodha ya michezo ya Jackpot uliyocheza andika LISTJP na TUMA KWENDA 15800

SOKABET INARUDISHA KWA JAMII

Katikati ya mwaka 2017, Sokabet iliingia mkataba wa mwaka mmoja na Klabu ya Maji­maji inayoshiriki Ligi Kuu Bara, mkataba huo ulikuwa ni wa Sh milioni 150.

Mkataba huo ulikuwa se­hemu ya Sokabet kurejesha katika jamii kile inachoki­pata mbali ya kulipa kodi za kawaida za serikali na kutoa ajira kwa Watanzania wengi.

WANUFAIKA NA MAMILIONI

Frank Chodaus ambaye ni mkazi wa Mikumi mkoani Morogoro ni mmoja walio­wahi kunufaika na Sokabet baada ya kushinda milioni 2 kwa kubeti kwa Sh 1,000 tu aliposhiriki katika Jackpot.

UDHAMINI WA BEACH SOKA

Sokabet pia ilipata nafasi ya kudhamini michuano ya Ligi ya Soka la Ufukweni ‘Beach Soccer’ iliyofanyika kwenye Ufukwe wa Coco ji­jini Dar es Salaam kwa kush­irikisha timu za vyuo vikuu.

MECHI FEDHA UTAKAZOPATA

13 Sh 100,000,000

12 Sh 2,500,000

11 Sh 1,000,000

10 Sh 500,000

9 Atashiriki bure Jackpot inayofuata

  1. Bet na Odds za mpira
  2. Jackpot Bets
  3. Weka pesa
  4. Toa pesa
  5. Salio
  6. Mkeka
  7. Msaada
  8. Jisajili

Comments are closed.