The House of Favourite Newspapers

Tajirika na Mechi za Europa na Konferensi Leo

0

Kampuni kubwa ya ubashiri Tanzania Meridianbet leo hii imekuletea machaguo ambayo wewe unayataka kwenye mechi za leo. Unachotakiwa kufanya ni kuingia kwenye akaunti yako na kuanza kusuka jamvi sasa.

Michuano ya Konferensi Ligi leo hii zitapigwa mechi mbili za maana kabisa ambazo hutakiwa kukosa nikianza na mtanange wa Aston Villa kutoka Uingereza dhidi ya Olympiacos Piraeus kutoka Ugiriki.

Unai Emery na vijana wake ndio inapendelewa kuondoka na pointi tatu ndani ya Meridianbet kwa kupewa ODDS 1.37 kwa 8.23. Pia mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Bashiri sasa.

Nusu Fainali nyingine ni kati ya ACF Fiorentina dhidi ya Club Brugge ambao wapo nafasi ya pili kwenye ligi kuu ya Ubelgiji wakiwa wamepoteza mechi saba pekee hadi sasa. Huku Mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 8 na akiwa amepoteza mechi 11 kwenye ligi.

1.73 kwa 4.60 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi lako muda huu na uanze kubashiri mechi hii ili ujiweke kwenye nafasi ya kukwapua mpunga wa meridianbet.

Ukiachana na mechi ndugu mteja kumbuka kucheza michezo ya Kasino ya Mtandaoni ambayo inatolewa ndani ya meridianbet kama vile Poker, Roullette, Aviator, Rockertman, Keno, Sloti na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

AS Roma atakipiga dhidi ya Bayer Leverkusen ambao hawajapoteza mechi yoyote kwenye mashindano yote msimu huu, huku tayari wakiwa ndio mabingwa wa ligi kuu ya Ujerumani. Roma yeye anashika nafasi ya tano kwenye ligi hadi sasa baada ya kucheza mechi zake 34.

Kwenye hii nusu fainali ya kwanza ambayo itapigwa katika dimba la Stadio Olimpico Meridianbet wao wamempa nafasi kubwa ya kuondoka na ushindi Alonso na vijana wake kwa ODDS 2.06 kwa 3.47. Je wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Beti na meridianbet sasa.

Atalanta atakuwa ugenini kusaka pointi tatu dhidi ya Olympique Marseille kutoka kule Ufaransa. Timu hii kule Ligue 1 ipo nafasi ya saba baada ya kucheza mechi zake 31 hadi sasa, Wakati vijana wa Gasperini wao wapo nafasi ya sita kwenye michezo yao 33 waliyocheza hadi sasa.

Mechi hii imepewa ODDS 2.55 kwa 2.69. Je nani kuondoka na ushindi leo hii kwenye hii mechi ya kwanza ya Nusu Fainali ambayo kila mmoja anaitamani sana kuvuka na kwenda fainali? Tengeneza jamvi hapa. 

 

Leave A Reply