The House of Favourite Newspapers

BUNGE LAAHIRISHWA KUOMBOLEZA KIFO CHA BILAGO – VIDEO

Naibu Spika, Dkt. Tulia Ackson ameahirisha shughuli za Bunge  leo Jumatatu mpaka kesho, saa 3 asubuhi kupisha maombolezo ya msiba wa Mbunge wa Jimbo la Buyungu (CHADEMA), Kasuku Bilago aliyefariki juzi Jumamosi Mei 26, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alipokuwa akitibiwa.

Mwili wamarehemu unatarajiwa kuagwa kesho Jijini Dodoma na wabunge wote kabla ya kusafirishwa kwenda kwao Kigoma kuzikwa..

 

KWA UCHUNGU: Naibu Spika Aahirisha Bunge Leo

Comments are closed.