The House of Favourite Newspapers

Spika Ndugai Arejea Bungeni Kuongoza Mkutano wa 11

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai leo Aprili 9, 2018 amerejea bungeni rasmi katika mkutano wa 11 na kikao cha tano baada ya kutoka nje baada ya kuelezwa alikuwa akipatiwa matibabu.

 

Spika Ndugai baada ya kurejea ameshangiliwa na wabunge mbalimbali kwasababu hakuonekana kwa muda mrefu katika Bunge hilo.

 

Katika mkutano uliopita Spika Ndugai hakuonekana na leo ameonekana rasmi ndani ya Bunge na kuongoza Bunge hilo.

FUATILIA HAPA GLOBAL TV MUBASHARA

Comments are closed.