The House of Favourite Newspapers

Cardi B Asema Hapigi Shoo Chini ya Sh. Mil. 680

RAPA wa kike wa Marekani, Cardi B, amesema hawezi kufanya shoo  iliyo chini ya Dola 300,000 ambazo ni sawa na Sh. 686 za Tanzania.

Isitoshe, amesema shoo hizo lazima ziwe karibu na nyumbani kwake ili awe karibu na mtoto wake mdogo wa kike,  Kulture Kiari Cephus.

Rapa huyo amepata umaarufu zaidi baada ya kushinda  tuzo tatu za Video Music Awards (VMA) na hivyo kukoleza bifu baina yake na mpinzani wake,  Nicki Minaj,  ambaye alimwimba kwa ‘kumponda’ hivi karibuni katika shoo moja jijini New York.

Comments are closed.